download from google play download from apple store
Connection failed Try again
download from google play download from apple store

Lema: Nimefika ofisi ya RCO haina taarifa ya wito wangu

bongoleo.com 03/3/2020Mbunge wa Arusha mjini (Chadema) Godbless Lema, amesema amekwenda ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Arusha hawana taarifa za kuitwa kwake.

“Nimefika ofisi ya RCO Arusha nikiwa na viongozi wa chama, mkoa, wilaya, kanda. Ofisi ya RCO haina taarifa na wito huu,” aliandika Lema.

Lema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ” Isipokuwa OC, CID ninaweza kupelekwa Singida ieleweke siwezi kujirusha kwenye gari, kunywa sumu, kujinyonga. isije kutokea kama kilichomkuta mwimbaji wa Rwanda,”.

Jana Lema alisema amepata taarifa kuwa gari mbili za polisi zikiwa na askari kanzu zimekwenda kumtafuta nyumbani kwake bila kumpatia taarifa.

“Wamenikuta nimeondoka, hivyo nimepigiwa simu na kutakiwa ofisi ya RCO Arusha. Hawajataka kusema sana nitafutia nini? Nina wasiliana na wakili wangu kuelekea,” aliandika Lema.

Habari mpya

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

2d bongo5.com

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

2d globalpublishers.co.tz

Virusi vya corona: Rais wa Tanzania anasema wagonjwa wanapungua, je yuko sahihi?

bbc.com

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka - Global Publishers

2d globalpublishers.co.tz

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka - Global Publishers

Jinsi ya kumfanya mpenzi wako ajisikie na penzi lako

bongoleo.com

Jamaa afariki Dunia baada ya kubanwa na Polisi, raia wacharuka

4d millardayo.com

Jamaa afariki Dunia baada ya kubanwa na Polisi, raia wacharuka

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu - Global Publishers

5d globalpublishers.co.tz

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu - Global Publishers

Mwanamke Akiambiwa Nakupenda, nini Humjia Kichwani?

edusportstz.com

Mwanamke Akiambiwa Nakupenda, nini Humjia Kichwani?

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe

2d bongo5.com

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe

FAIDA ZA KUNYWA MAJI ASUBUHI KABLA YA KULA CHOCHOTE

lemutuz.co.tz

FAIDA ZA KUNYWA MAJI ASUBUHI KABLA YA KULA CHOCHOTE
Related news

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

2d bongo5.com

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

4d bongoleo.com

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

Picha : RAIS MAGUFULI NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO DODOMA.

1d malunde.com

Picha : RAIS MAGUFULI NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO DODOMA.

Lema amtumia ujumbe mzito Dk. Ndugulile aliyetumbuliwa

bongoleo.com

Lema amtumia ujumbe mzito Dk. Ndugulile aliyetumbuliwa

Magufuli asimulia alivyomfukuza mfanyakazi Ikulu kisa Tausi

1d muungwana.co.tz

Magufuli asimulia alivyomfukuza mfanyakazi Ikulu kisa Tausi

Msigwa Amlipua Mbunge Aliyelia Kuhamia CCM Bungeni “Ni Msanii Tu huyo”

bongoleo.com

Msigwa Amlipua Mbunge Aliyelia Kuhamia CCM Bungeni “Ni Msanii Tu huyo”

HALIMA MDEE AFIKISHWA MAHAMANI

3d zanzibar24.co.tz

HALIMA MDEE AFIKISHWA MAHAMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake

blog.ikulu.go.tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake

Mbunge CCM ataka polisi waongezewe posho, Waziri amjibu

mwanahalisionline.com

Mbunge CCM ataka polisi waongezewe posho, Waziri amjibu

Nyalandu asilimulia mazito baada ya watu kutelekeza gari kwenye geti lake, asema anaelewa kinachoendelea

1d bongoleo.com