download from google play download from apple store
Connection failed Try again
download from google play download from apple store

X-Ray ya Mdee alivyovunjika mkono, Bulaya aumia mgongo na kifua baada ya kutembezewa kichapo

bongoleo.com 03/15/2020X-ray ya mkono wa mbunge wa Kawe (Chadema),Halima Mdee, inayoonyesha jinsi alivyovunjika mkono baada ya kutembezewa kichapo juzi  walivyokwenda kumpokea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akitoka gerezani.

Mdee pamoja na Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya wamelazwa katika hospitali ya Agakhan baada ya kutembezewa kichapo na askari magereza wa gereza la Segerea.

Mbunge wa Tarime vijijini (Chadema), John Heche, amesema amewatembelea Mdee, Bulaya na Jesca Kishoa hospitali bado wapo kwenye maumivu makubwa.

“Halima amevunjwa mkono wa kulia, mh Bulaya ameumia mgongo na kifua,” aliandika Heche katika ukurasa wake wa Twitter.

Alisema anaamini walichosema magereza ni uongo kama wanajiamini watoe picha za CCTV.

Habari mpya

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe

2d bongo5.com

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka - Global Publishers

2d globalpublishers.co.tz

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka - Global Publishers

Mjengo mpya wa Mwigizaji Kitale Kigamboni…. “niliuza Noah nikanunua hiki kiwanja”

2d millardayo.com

Mjengo mpya wa Mwigizaji Kitale Kigamboni…. “niliuza Noah nikanunua hiki kiwanja”

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

2d globalpublishers.co.tz

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

Kocha wa Simba SC  amtimua Ibrahim Ajibu ”Ajibu aige mfano wa Manula” (+Video)

2d bongo5.com

Kocha wa Simba SC  amtimua Ibrahim Ajibu ”Ajibu aige mfano wa Manula” (+Video)

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

2d bongo5.com

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi Mwanaye

2d globalpublishers.co.tz

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi Mwanaye

TANZIA: Mbunge Mhe. Mollel Afariki Dunia

3d globalpublishers.co.tz

TANZIA: Mbunge Mhe. Mollel Afariki Dunia

Mwanamke autukana msafara wa Rais Trump, ripoti yaeleza kwanini hajakamatwa

2d millardayo.com

Mwanamke autukana msafara wa Rais Trump, ripoti yaeleza kwanini hajakamatwa

Magufuli apiga marufuku uvaliaji wa barakoa nchini Tanzania

6d radiojambo.co.ke

Magufuli apiga marufuku uvaliaji wa barakoa nchini Tanzania
Related news

Kauli ya CHADEMA kuhusu mgombea Urais

5d muungwana.co.tz

Kauli ya CHADEMA kuhusu mgombea Urais

Faida saba(7) zitokanazo na juisi ya ukwaju

4d muungwana.co.tz

Faida saba(7) zitokanazo na juisi ya ukwaju

TAHARIRI: Ukaidi wa Tanzania tishio kwa eneo zima

taifaleo.nation.co.ke

TAHARIRI: Ukaidi wa Tanzania tishio kwa eneo zima

Atangaza kugombea urais kupitia Chadema

4d habarileo.co.tz

Atangaza kugombea urais kupitia Chadema

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

4d bongoleo.com

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

Rais wa Kenya akasirika na kumzomea mwanawe kwa kuwaweka kwenye hatari ya coronavirus

3d kiswahili.tuko.co.ke

Rais wa Kenya  akasirika na kumzomea mwanawe kwa kuwaweka kwenye hatari ya coronavirus

Lema amtumia ujumbe mzito Dk. Ndugulile aliyetumbuliwa

bongoleo.com

Lema amtumia ujumbe mzito Dk. Ndugulile aliyetumbuliwa

Mbowe aeleza anavyomfahamu Ndugai "Muombeeni"

muungwana.co.tz

Mbowe aeleza anavyomfahamu Ndugai "Muombeeni"

Lissu awacharua wabunge waliotimka Chadema na kuanza kutoa tuhuma kwa Mbowe

bongoleo.com

Lissu awacharua wabunge waliotimka Chadema na kuanza kutoa tuhuma kwa Mbowe

KIKOSI KAZI CHA KELVIN YONDANI WA YANGA KINA BALAA, WAWILI WA SIMBA NDANI

23h salehjembe.blogspot.com

KIKOSI KAZI CHA KELVIN YONDANI WA YANGA KINA BALAA, WAWILI WA SIMBA NDANI