download from google play download from apple store
Connection failed Try again
download from google play download from apple store

Dk Bashiru aliamsha dude kwa Membe asema hajafukuzwa CCM kwa sababu ya kutaka kugombea Urais

bongoleo.com 03/3/2020Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje, Bernard Membe, hajafukuzwa uanachama kwa sababu alitaka kugombea urais.

Dk. Bashiru aliyasema hayo jana wakati akihojiwa na kituo cha Televisheni cha Azam, alieleza kufukuzwa uanachama ni uamuzi wa Kamati Kuu iliyokuwa inatekeleza azimio la Halmashauri.

“Nazungumza kwa tahadhari kubwa mimi matarijio yangu Membe atachukua tahadhari. Kwanza nimesikia kwenye vyombo vya habari habari haijakanushwa eti kosa la maadili ni kutaka kugombea urais,” alisema Bashiru.

Bashiru alisema katika kanuni zao hakuna mwanachama anaweza kuhojiwa kwa vile tu kataka kugombea urais.

“Sasa hilo ni kosa la Membe na chama chake labda kinaitwa Membe,”.

Aliongezea kuwa ” Membe amekaa kwenye chama amekuwa kiongozi mwandamizi ndani ya serikali na amekuwa katika sekretarieti kuhusu masuala ya mambo ya nje anajua kwa uhakika kuwa makosa ya kimaadili yametajwa ndani ya katiba na ndani ya kanuni zinazosimamiwa na maadili,” alisema.

Aidha, alisema wamepokea barua za wanachama wengi waliopewa barua za kufukuzwa kama ya Membe wakiomba msamaha wa kurudi.

“Wote walioomba kusamehewa wamesamehewa,” Alisema Bashiru.

Alipohoji je kuna uwezekano wa Membe kutakiwa kuomba msamaha ili arudishwe kwenye chama Bashiru alijibu hivi;

“Wapo wanachama wazito kuliko Membe wamerudi Edward Lowasa alivyoondoka tulipata hasara kubwa ya kisiasa. Milango ya kumsamehe ipo wazi,”. alisema Bashiru.

Habari mpya

Jinsi ya kumfanya mpenzi wako ajisikie na penzi lako

bongoleo.com

Jinsi ya kumfanya mpenzi wako ajisikie na penzi lako

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

2d globalpublishers.co.tz

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu - Global Publishers

5d globalpublishers.co.tz

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu - Global Publishers

Virusi vya corona: Rais wa Tanzania anasema wagonjwa wanapungua, je yuko sahihi?

bbc.com

Virusi vya corona: Rais wa Tanzania anasema wagonjwa wanapungua, je yuko sahihi?

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

2d bongo5.com

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka - Global Publishers

2d globalpublishers.co.tz

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka - Global Publishers

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe

2d bongo5.com

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe

Tetesi za soka Jumapili tarehe 31.05.2020

8h bbc.com

Tetesi za soka Jumapili tarehe 31.05.2020

SAA 7 MCHANA...Hawa nyota sita mali ya Simba

mwanaspoti.co.tz

SAA 7 MCHANA...Hawa nyota sita mali ya Simba

Jamaa afariki Dunia baada ya kubanwa na Polisi, raia wacharuka

4d millardayo.com

Jamaa afariki Dunia baada ya kubanwa na Polisi, raia wacharuka
Related news

Bye Bye HIV/AIDS, Good News as Scientists Discover New Drug

ke.studio.opera.com

Bye Bye HIV/AIDS, Good News as Scientists Discover New Drug

Kauli ya CHADEMA kuhusu mgombea Urais

5d muungwana.co.tz

Kauli ya CHADEMA kuhusu mgombea Urais

Ngoma nzito wabunge 15 Chadema

mtanzania.co.tz

Ngoma nzito wabunge 15 Chadema

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

4d bongoleo.com

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

Atangaza kugombea urais kupitia Chadema

4d habarileo.co.tz

Atangaza kugombea urais kupitia Chadema

TAHARIRI: Ukaidi wa Tanzania tishio kwa eneo zima

taifaleo.nation.co.ke

TAHARIRI: Ukaidi wa Tanzania tishio kwa eneo zima

Rais wa Kenya akasirika na kumzomea mwanawe kwa kuwaweka kwenye hatari ya coronavirus

3d kiswahili.tuko.co.ke

Rais wa Kenya  akasirika na kumzomea mwanawe kwa kuwaweka kwenye hatari ya coronavirus

Lissu awacharua wabunge waliotimka Chadema na kuanza kutoa tuhuma kwa Mbowe

bongoleo.com

Lissu awacharua wabunge waliotimka Chadema na kuanza kutoa tuhuma kwa Mbowe

Rasmi Yanga SC Yamaliza Kazi kwa Makambo - Global Publishers

4d globalpublishers.co.tz

Rasmi Yanga SC Yamaliza Kazi kwa Makambo - Global Publishers

No! Viongozi wa makanisa wapinga kufunguliwa kwa shule

radiojambo.co.ke

No! Viongozi wa makanisa wapinga kufunguliwa kwa shule