download from google play download from apple store
Connection failed Try again
download from google play download from apple store

Lema na Sugu wasema kauli ya Bashiru anapaswa kupimwa mkojo ama akili

bongoleo.com 03/7/2020Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema alipoona kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ally Bashiru alimpigia simu Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu kumuuliza kama anavuta gundi.

Lema amesema baada ya kumuuliza Sugu alimkatalia bali akasisitiza kuwa Bashiru anapaswa kupimwa mkojo au akili kwa kauli yake.

Kiongozi huyo aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter kwani  ni kauli hatari inayoweza kutolewa na kichaa tu.

“Nilipoona kauli ya Dk. Bashiru Ally, nilimpigia Mh Sugu simu, yeye anamjua kwa kiasi, nilimuuliza kama Bashiru Ally anavuta gundi? Sugu alinikatalia, bali akasisitiza kuwa Bashiru anapaswa kupimwa kipimo cha mkojo ama akili kwa kauli yake, kwani ni kauli hatari inayoweza kutolewa na kichaa tu,” aliandika Lema.

Habari mpya

Njia ya kutunza mayai kwa njia ya asili

1h muungwana.co.tz

Njia ya kutunza mayai kwa njia ya asili

Faida saba(7) zitokanazo na juisi ya ukwaju

4d muungwana.co.tz

Faida saba(7) zitokanazo na juisi ya ukwaju

Jinsi ya kumfanya mpenzi wako ajisikie na penzi lako

bongoleo.com

GSM:TUNATAKA KUACHA ALAMA YANGA, SEVILLA WATATUNGAZIA NCHI, MKATABA WASAINIWA

2h salehjembe.blogspot.com

GSM:TUNATAKA KUACHA ALAMA YANGA, SEVILLA WATATUNGAZIA NCHI, MKATABA WASAINIWA

Serikali yatoa mwongozo wa kudhibiti corona Vyuoni, Shule za Msingi na Sekondari

2d bongo5.com

Siri Ushindi wa Magufuli dhidi ya Corona Yafichuka - Global Publishers

2d globalpublishers.co.tz

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu - Global Publishers

5d globalpublishers.co.tz

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu - Global Publishers

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

2d globalpublishers.co.tz

VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

Huyu ndio mwanamke wa kuoa, ila sijui kama Tanzania yupo

edusportstz.com

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe

2d bongo5.com

Msichana aliyerekodi video ya yule Polisi akimuua Mmarekani mweusi, Adaiwa kupata kiwewe
Related news

TAHARIRI: Ukaidi wa Tanzania tishio kwa eneo zima

taifaleo.nation.co.ke

TAHARIRI: Ukaidi wa Tanzania tishio kwa eneo zima

Yajue Madhara ya Kutokufanya Mapenzi kwa Muda Mrefu

udakuspecially.com

Huyu ndie Shoga Tajiri Afrika BOB RISKY Ajibadilisha Kila Kitu Lakini Sauti yake mhhh

Lema amtumia ujumbe mzito Dk. Ndugulile aliyetumbuliwa

bongoleo.com

Lema amtumia ujumbe mzito Dk. Ndugulile aliyetumbuliwa

Mwanahabari wa CNN akamatwa akiripoti moja kwa moja kuhusu maandamano

1d kiswahili.tuko.co.ke

Mwanahabari wa CNN akamatwa akiripoti moja kwa moja kuhusu maandamano

TABIA 4 Zinazoharibu Kinga Zako za Mwili Bila Kujijua..!!!

udakuspecially.com

TABIA 4 Zinazoharibu Kinga Zako za Mwili Bila Kujijua..!!!

#JINSI YA KURUDISHA_UK-E_ULIO_TANUKA_AU #KUREGEA

edusportstz.com

#JINSI YA KURUDISHA_UK-E_ULIO_TANUKA_AU #KUREGEA

Video: Jionee Maajabu Ya Barabara Za Juu Ubungo "Tunampa 'Big Up' Magufuli"

13h globalpublishers.co.tz

Video: Jionee Maajabu Ya Barabara Za Juu Ubungo "Tunampa 'Big Up' Magufuli"

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

4d bongoleo.com

Zitto Amtumia Idriss Ujumbe Mzito Baada Ya Kuachiwa Kwa Dhamana

Picha : RAIS MAGUFULI AWAKABIDHI ZAWADI YA TAUSI MARAIS WASTAAFU WA TANZANIA

1d malunde.com